KUJIKINGA NA UGONJWA WA KIPINDUPINDU
Nullam euismod commodo

Ugonjwa kipindupindu mara nyingi huenea zaidi kipindi cha masika, hivyo basi tunapo elekea katika kipindi hicho ni muhimu kujifunza jinsi ya kupambana na ugonjwa huo.

Kipindupindu ni ugonjwa wa kuambukiza unao sababishwa na vimelea vya Vibrio Cholera. Vimelea hivi hukaa kwenye majimaji na wadudu kama inzi wana uwezo wa kuvihamisha kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Kipindupindu hutokana na kunywa maji yasiyo salama au chakula kilicho andaliwa amoxicillin 1000 mg katika mazingira machafu.

DALILI ZA UGONJWA

  • Kuanza gafla kuharisha mfululizo kinyesi cha maji meupe kama maji ya kuoshea mchele.
  • Kutapika
  • Maumivu tumboni
  • Mwili kulegea na kukosa nguvu kutokana na mwili kupoteza maji mengi na madini.

JINSI YA KUJIKINGA

  • Ni muhimu kusafisha mazingira yanayo tuzunguka na kuhakikisha kuwa yanakuwa safi wakati wote.
  • Nawa mikono kwa maji safi na sabuni kabla na baada ya kula na mara tu baada ya kutoka chooni.
  • Hakikisha vyakula unavyo kula ni vya moto na vimehifadhiwa katika vyombo safi.
  • Maji ya kunywa yawe ni safi na salama.
  • Tumia maji safi kuosha matunda kabla ya kutumia.

www.findsalewatches.com

 

More Posts
Copyrights ©2018: Mkula Hospital.Powered by Ufanisi Africa