JINSI YA KUJIKINGA NA MBU WAENEZAO MALARIA
Nullam euismod commodo

Malaria inaongoza kwa kusababisha vifo vingi, hivyo basi ni muhimu kuzingatia kinga dhidi ya ugonjwa huo. Ni muhimu kufanya yafuatayo;

  • Kutumia chandarua kilicho wekwa dawa ya kuua mbu.www.multiluxury.com Ni muhimu kulala kwenye chandarua kilicho na dawa.
  • Njia nyingine ni kuweka mazingira safi kwa kufukia madimbwi na mashimo yasababishayo maji kutuama pamoja na kufyeka majani kuzunguka makazi.
  • Kutumia dawa za kupulizia na kunyunyizia mbu katika maeneo ya makazi. Mfano wa dawa hizi ni Mortein Doom ambayo cost of abortion pill hupatikana kwenye maduka ya kawaida.
  • Kuteketeza mazalia ya mbu kwa kunyunyuzia dawa ya Ukoko. Shughuli ya kunyunyizia dawa hii hufanywa na wataala wa afya.
  • Ili kujikinga na ugonjwa wa malaria kwa kina mama wajawazito ni muhimu kwao kutumia dawa za SP kabla ya kujifungua. Dozi ya dawa hizi hutolewa katika vituo vya afya vinavyo toa huduma kwa mama na mtoto. Dawa hizi kwa wajawazito zinamlinda mama na mtoto aliyeko tumboni asipate uambukizo wa malaria kutoka kwa mama.
  • Ni muhimu kuzingatia matumizi sahihi ya dawa za malaria kwa wagonjwa.
More Posts
Copyrights ©2018: Mkula Hospital.Powered by Ufanisi Africa