FAIDA ZA MAZIWA YA MAMA
Nullam euismod commodo

Shirika la afya duniani (WHO) linapendekeza mtoto anyonye maziwa ya mama pekee bila kupewa chakula kingine chochote hadi atakapo timiza umri wa miezi 6.

  • Maziwa ya mama ni chakula bora kwa mtoto kuliko chakula chochote au dawa yeyote.
  • Umeng'enywaji (kuyeyushwa) wa maziwa ya mama tumboni mwa mtoto ni rahisi.
  • Maziwa ya mama hayaleti matatizo ya mzio (allergies) abortioncoupon.com kama pumu na matatizo mengine.
  • Maziwa ya mama yana viini lishe vyote na kwa uwiano ulio sahihi kwa ukuaji wa mtoto.
  • Utafiti unaonyesha kuwa watoto walionyonya maziwa ya mama huwa na ukuaji mzuri wa kiakili na kimwili ukilinganisha na ambao hawaja nyonya.
  • Maziwa ya mama ni salama zaidi kwa mtoto kwa kuwa yanatolewa kiasili.
More Posts
Copyrights ©2018: Mkula Hospital.Powered by Ufanisi Africa